nini maana ya mofolojia ya kiswahili na mofolojia ya kiswahili ina husika na nini?
Asked in Arts & Humanities - 902 days ago
Tags:
nini dhana ya mofolojia?
Answered by Anonymous at Feb 4, 2011 06:16 AM
NITAALUMA INAYOHUSU UUNDAJI WA MAUMBO MBALIMBALI YA MANENO KATIKA LUGHA .
Answered by Anonymous at Dec 28, 2010 04:08 AM
historia ya mofolojia
Answered by Anonymous at May 21, 7298 01:01 PM
ni zipi aina za lugha kimofolojia kwa kuzingatia ruwaza za uainishaji wa lugha za kidunia?
Answered by Anonymous at Jun 2, 2011 09:41 PM
tawi la isimu ambalo huchunguza maneno ya lugha
Answered by Anonymous at May 21, 3245 01:01 PM
ni taaluma inayohusu uundaji wa maneno.
Answered by Anonymous at Dec 3, 2010 08:33 AM
inahusu uundaji wa maneno.
Answered by Anonymous at Dec 3, 2010 08:28 PM
NINI MAANA YA KISWAHILI
Answered by Anonymous at Dec 10, 2010 05:13 AM
Nini hatua za uundaji wa msamiati? vipi uundaji wa msamiati katika lugha unaweza kuboreshwa?utata umbo la neno?
Answered by Anonymous at Mar 9, 2011 10:58 PM
mofolojia ya kiswahili inahusu uundaji wa maneno
Answered by Anonymous at Mar 15, 2011 07:50 AM
Ni tawi la sauti linalochunguza maumbo,fani na aina za maneno pamoja na historia ya maneno hayo.
Answered by Anonymous at Feb 18, 2011 12:34 PM
kwanini mofolojia ni isimu
Answered by Anonymous at Feb 21, 2011 12:40 PM
je mofolojia ina umuhimu wowote katika lugha ya kiswahli?
Answered by Anonymous at Mar 3, 2011 06:39 AM
Answered by Anonymous at May 21, 3248 01:01 PM
kwa nini lugha haikufika kenya nipe sababu
Answered by Anonymous at Apr 19, 2011 09:45 AM
kwa nini mafoloja ni dhana dhahania?
Answered by Anonymous at May 9, 2011 05:50 AM
Mofolojia ya kiswahili ni taaluma inayohusiana na uundaji wa maneno ya kiswahili. Inahusu njia mbalimbali za uundaji wa maneno ya lugha ya kiswahili.
Answered by Anonymous at May 21, 2902 01:07 PM
kwa nini kiswahili ni kibantu
Answered by Anonymous at Apr 19, 2011 09:55 AM
mofolojia ni tawi la isimu ambalo huchunguza maumbo ya maneno hususani maumbo ya mofimu.
Answered by Anonymous at Apr 27, 2011 01:24 PM
mofolojia ni hili ya kuumba maneno na inahusika na namna maneno yanovyo umbwa
Answered by Anonymous at May 21, 1434 01:08 PM
Categories